Saturday, October 29, 2011

TAKUKURU Yashiriki Wiki ya Utumishi wa Umma


The Prevention and Combating of Corruption BUreau


  • Maelfu watembelea banda hilo na kuelimishwa
Mwananchi aliyetembelea banda la TAKUKURU akihojiwa kuhusu maoni yake juu ya utendaji kazi wa TAKUKURU
Juni 16-23, 2011 TAKUKURU ilishiriki Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Barani Afrika yaliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam na kutembelewa na  wananchi 2,917, kati yao wanaume walikuwa 2,120 na wanawake 797. Maadhimisho ya haya  yalikuwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania na yalibeba kauli mbiu Mkataba wa Kanuni na misingi ya Utumishi wa Umma Barani Afrika ni Chachu ya kuimarisha Utoaji Huduma bora kwa Umma”. TAKUKURU ilielimisha kupitia ujumbe dhidi ya rushwa uliosema “Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania, Ziingatia Maadili ili Kuimarisha Huduma Bora”.
Katika maonyesho hayo TAKUKURU ilielimisha jamii juu ya dhana ya rushwa, madhara yake na namna ya kuidhibiti kwa kutoa maelezo kuhusu majukumu na utendaji kazi wa wake, kujibu maswali ya wananchi, kugawa machapisho, kupokea changamoto na maoni ya wananchi, kujenga mahusiano  mema na wadau kwa kuwaelimisha jinsi tunavyoweza kushirikiana katika kutekeleza jukumu la kuzuia na kupambana na rushwa nchini. Taasisi ilitumia fursa hiyo pia  kupokea taarifa za vitendo vya rushwa, ambapo kero mbalimbali za rushwa zinazowakabili wananchi zilitolewa na kupokelewa na Taasisi inaendelea kuzifanyia kazi.
Wanafunafunzi waliotembelea Banda la TAKUKURU wakipata elimu
Aidha wananchi walipata fursa ya kutoa maoni ambapo waliashauri kuwa adhabu za makosa ya rushwa ziongezwe kwa kuwa rushwa inasababisha hasara kubwa kwa Serikali. Pia wananchi waliitaka TAKUKURU iongeze bidii ya kutoa elimu kwa kuwatembelea wananchi na kusikiliza kero zinazowasumbua. Vilevile, wananchi waliitaka Taasisi kuelekeze nguvu ndani ya Vyama vya Siasa watika wa chaguzi.
Wananchi wakijisomea machapisho katika Banda la TAKUKURU.
Ushiriki wa TAKUKURU katika maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma umetoa fursa ya kutathmini utendaji wake wa kazi na pia kushirikisha wananchi katika kuzuia na kupambana na rushwa kwa njia ya wao kutoa taarifa za rushwa na maoni  kuhusu jinsi ya kufanikisha mapambano dhidi ya rushwa nchini. Ni wazi kuwa kuendelea kushiriki katika maaadhimisho kama haya kunaisogeza TAKUKURU karibu zaidi na wananchi.
Wananchi wakipata machapisho na elimu dhidi ya rushwa kwenye banda la TAKUKURU
Ni matarajio ya TAKUKURU kuwa wananchi wameelimika hivyo hawatajihusisha na vitendo vya rushwa na watendelea kuunga mkono juhudi za Serikali katika mapambano dhidi ya rushwa.
Maadhimisho ya mwaka huu yalihudhuriwa na nchi 7 ambazo ni Kenya, Zambia, Zimbabwe, Afrika ya Kusini, Korea ya Kusini, Oman na Tanzania. Jumla ya wananchi 2,917 walitembelea banda la TAKUKURU ambapo  wanaume walikuwa 2,120 na wanawake 797. Machapisho 7,159 yenye ujumbe dhidi ya rushwa yaligawiwa kwa wananchi yakiwemo majarida, vipeperushi, ripoti za tafiti  na nakala za Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Na. 11/2007.

PCCB Trained Members of African Parliamentarians Network Against Corruption - Tanzania Chapter

PCCB Trained Members of African Parliamentarians Network Against Corruption - Tanzania Chapter

Dr. Edward Hoseah, Director General of PCCB in a group photo with Honorable APNAC Members-Tanzania Chapter
Recently the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) held a training session with the Members of Parliament who are members of the African Parliamentarian Network against Corruption (APNAC) – Tanzania Chapter at St. Gasper Conference Center in Dodoma. The training was conducted from 28th to 29th July, 2011.
This training is the continuation of a series of trainings under the National Anti- Corruption Strategy and Action Plan. The two days training subject matter focused on the Role of Parliament in the fight against corruption, Election and Expenses Act No. 6 of 2010, APNAC Strategic Plan and the way forward for APNAC.

Dr. Edward Hoseah, Director General of PCCB was the presenter in this forum. It was a very successful training because of the good discussions that managed to answer many questions from APNAC members and valuable contributions to improve the fight against corruption in Tanzania. Among many things that were discussed it was resolute to make all Tanzania legislations to be written in Kiswahili language and to translate the present laws which are in english; Government was urged to continue to empower PCCB especially in budget; PCCB to conduct several households survey on corruption for different sectors; Election Expenses Act to be revised; Screening of Public officials and declaration of assets should be taken seriously; and APNAC members also suggested that PCCB train all Parliamentary Committees.
APNAC Members Listening to Dr. Hoseah’s presentation
APNAC Members Listening to Dr. Hoseah’s presentation
APNAC aims at coordinating, involving and strengthening the capacity of African Parliamentarians to fight corruption and promote good governance. The network was formed in Kampala, Uganda during regional workshop on “Parliament and Good Governance”. Participants acknowledged that corruption could best be controlled by strengthening systems of accountability, transparency, and increasing public participation in the governance process of African nations.
APNAC Members Listening to Dr. Hoseah’s presentation
Hon. Mohamed Hamad Rashid, Member of Parliament from Wawi Pemba gives his contribution during the training
Objectives of APNAC are;
  • To build commitment and capacity of Parliamentarians to exercise their oversight role especially in relation to financial matters
  • To share information on best practices
  • To undertake projects to control corruption
  • To cooperate with organizations in civil society with shared objectives
Hon. Angela Kairuki, Member of Parliament Special Sits gives his contribution during the training


Roles of APNAC are to:-
  • To strengthen the commitment and capacity of Parliaments to exercise accountability with particular relations to management of public funds
  • To advocate for and encourage improvement of state capacity to timely address and handle matters related to corruption
  • To advocate for inclusion of anti-corruption measures in government priority programmes
  • To liaise with national and international organizations and institutions on matters of corruption
  • To mobilize internal and external resources to promote anti-corruption programmes
  • To develop links with oversight committees of Parliament and parliamentarians across Africa
    Hon. Idd Azan, Member of Parliament from Kinondoni gives his contribution during the training
  • To serve as a contact point, connect and support   the work of Parliamentarians related to fighting corruption. The network builds the commitment and capacity of Parliaments to exercise  accountability, transparency and oversight functions
  • Encourage information sharing on lessons learned and good practice
  • To undertake projects to control corruption
APNAC Tanzania chapter was established in the year 2007. The current APNAC Chairperson is Hon. Mary Mwanjelwa and Secretary is Hon. Vita Kawawa.
Greetings and conversation after the training
One to one
Greetings and conversation after the training
Greetings and conversation after the training
One to one


Monday, August 1, 2011

TUNAWATAKIA LIKIZO NJEMA NA TP YENYE MAFAN IKIO

Safari ya maisha ndefu. Maendeleo ya kielimu yanahitaji uvumilivu, kujituma na kuwajibika ili kufikia kilele cha mafanikio ambacho mtu hukitarajia. Leo hii ninapoandika ni mwaka sasa kwa baadhi ya wanachuo, wengine ni mwaka wa pili, lakini njia ni moja tu, "kuelekea mafanikio ya kitaaluma na ufundishaji wenye tija kwa wote wanaosoma ualimu". Ndiyo maana nawaandikieni, kwanza kuwapongezeni kwa kumaliza mwaka kwa mafanikio, pili kuwaombeni sasa kwenda kuwajibika ipasavyo kuhakikisha wanafunzi mtakaowafundisha, mnawapa maarifa ya kutosha kwa kadri ya mahitaji yao.

Jambo la msingi hapa ninalohitaji tulizungumzie, Ni kwa kiwango gani mwalimu anawajibika kwa mwanafunzi wake. Ni heshima ipi anayopaswa kuitoa kwake, miongozi ipi na anapaswa kumtimizia matakwa yapi? tukiweza kuyatafakari haya yote.....njia yetu itakuwa yenye mafanikio. Mungu awabariki na nendeni mtangaze YOWE la Babu.